Platinum Credit ltd ni kampuni inayojishughulisha na huduma za mikopo kwa watu wajasiamari na wafanyakazi wenye magari, huduma za kulipia wateja ushuru wa magari, kumuongezea mteja mpaka 40% ya bei ya gari ili aweze kupata pesa yard, lakini pia kumuongezea mteja 70% tumuiagizie gari nje ya nchi.
Platinum Credit Ltd inahitaji vijana wenye kwajili ya kuisaidia kampuni kwenye utafutaji wa wateja,
Tunahitaji wa kufanya mauzo (Sales) vijana wenye sifa zifuatazo
1.ELIMU – angalau awe na diploma ya Business administration, Marketing, HR, Accounting, Bank & Finance etc.
2.AWE MKAZI WA DAR ES SALAAM
3.AWE NA SIMU KUBWA – smart phone
4.UMRI- kuanzia miaka 18 – 35
5. AWE TAYARI KULIPWA COMMISSIONS
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Tuma CV yako kwenye emaail : [email protected] au whatsap 0655155165, tafadhaili usipige simu.
Go to our Homepage To Get Relevant Information.
More Information
- Salary Offers -
- Total Years Experience 0-5