Kiwanda cha Ocean Aluminum Limited kimesajiliwa na kinaendesha uzalishaji wa sufuria kwa mujibu wa sheria ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, ikiwa na namba ya utambulisho wa mlipa kodi 138-018-555 na leseni namba 20000005377 kilichopo kitalu namba 40 na 42 eneo la viwanda Buguruni, mtaa wa Maruzuku barabara ya Nelson Mandela.
Discover new jobs in Tanzania (Nafasi za kazi na ajira Mpya), top vacancies, and career opportunities. Visit Mabumbe.tz for employment updates and post job ads.