Job type: Full-time
Job Opportunities – Truck Drivers (Heavy Vehicles) and Tipper Drivers
Petro Logistics (T) Ltd announces job vacancies for Heavy Vehicle and Tipper Drivers. Applicants are required to meet the following qualifications:
Check all: JOBS IN TANZANIA
Go to our Homepage To Get Relevant Information.
Email Me Jobs Like These
7 Comments
Ahsante kwa Tangazo la nafasi naomba email ili tume naomba
Mimi ni dereva mwenye uzoefu
Maombi ya kazi ya Udereva Magari Makubwa.
Kwa majina naitwa Mustapha Ismail Singano mimi nidereva nilie hitimu mafunzo ya udereva katika ngazi tofauti kuanzia ngazi ya basic PSV HGV mpaka kuwa mkufunzi wa udereva ombi langu nilikuwa naomba kazi ya udereva katika tasisi yako. Mimi sjawahi kuajiliwa ila nimewahi fanya kazi katika kampuni ya Big bon kama fundi pia kama dereva msaidizi baada yahapo nikajiendeleza kielimu. Na kufanya kazi katika chuo cha udereva ruzinga smart driving school kilichopo mkoani Mwanza ambacho kilikuwa kama cha nyumbani mana kilikuwa cha dada mkubwa wangu je siwezi pata kazi ya udereva kutokana na sifa yangu iyo plz naomba msaada kwahilo namba yangu ni
0789497390
Mi ni deleva nimeitimu veta juz tu nasubili tu cheti naomba Kazi naendesha Gar yoyote
Mimi zacharia noah haruna nina umri wa miaka 32
Ninayo furaha kuomba nafasi hii ya kazi ya udereva kwa sababu ninaipenda,
Pia nina uzoefu wa kutosha na kazi hii
Aitwa madracka mele nipo bagamoyo natafuta kazi ya udereva