INFORMATION CONSULTACY LTD
Location: Morogoro Mjini.
1. MTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHEMA (MOBILE APPLICATION NA WEBSITE) – NAFASI 1
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kundaa sketch ya programu za tehama.
ii. Kuandaa database
iii. Kutengeneza website
iv. Kutengeneza mobile application
1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Awe na uzoefu Juu ya TEHAMA katika fani ya utengenezaji wa Programu za Mifumo ya TEHAMA na ufahamu na maarifa ya vitendo katika Java EE, C#, C++ na Python pamoja na uwezo wa kufanya kazi za Mifumo ya Uhifadhi Data zenye Uhusiano (Relational DataBase Management Systems (RDMS).
Utaratibu wa kutuma maombi:
Mwombaji atume CV yake, Kitambulisho na Passport mbili).
Maombi yote yatumwe kwenye email address:
information.consultancy.co@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi ni 25 August 2025
Go to our Homepage To Get Relevant Information.