MAJUKUMU YA KAZI
Cheo: Matron na Mwalimu Msaidizi
Msimamizi wa Kazi: Mwalimu Mkuu wa Shule / School Administrator
Kuhakikisha usalama wa watoto ndani na nje ya eneo la shule- Kusaidia watoto usafi wanapokwenda msalani
- Kulisha watoto pamoja na usafi wa mahali pa chakula na kuondoa vyombo
- Usafi wa madarasa, vyoo, mahali pa kulala na vifaa vya kulalia.
- Kusaidiana na walimu wawapo darasani kuhudumia watoto
- Kumsindikiza dereva kupeleka na kurudisha watoto nyumbani.
- Uangalizi wa mali za kituo
8. Kutunza taarifa za vifaa vya usafi na malazi - Kushiriki ibada bila kukosa na kuhudumu unapopangiwa.
- Kuwepo eneo la kazi au kutoa taarifa wakati unataka kutoka iwapo ni muda wa kazi.
- Kusaidia na kushauri upandaji wa mazao na ufugaji wa mifugo kwa ajili ya matumizi ya huduma na shule.
- Kusaidia shughuli za kituo kadiri utakavyoelekezwa na uongozi.
Sifa zinazotakiwa: Mhitimu wa cheti cha chuo cha malezi au ustawi wa jamii . Uzoefu wa Mwaka mmoja katika shughuli za ulezi na usaidizi wa kufundisha. Kujua kuzungumza kiingereza, awe na upendo na heshima na Kikubw akuliko yote awe Mcha Mungu.
Namna ya Kuomba: Tuma maombi kwa barua pepe ufalmeschools@gmail.com ambatanisha 1. barua ya maobi, 2. vyeti vya shule. Muombaji awe mwanamke tu.
Mwisho wa kutuma maombi 20/01/2025
Go to our Homepage To Get Relevant Information.