MAFUNDI WA SERVICE BAY

Job Expired

Service Bay iliyopo pande za Vikindu, Mkuranga inatafuta mafundi. Service Bay hii inatoa huduma zifuatazo:-

  1. Wheel Alignment ya magari makubwa na madogo kwa kutumia mashine ya kisasa,
  2. Wheel Balance ya magari makubwa na madogo kwa kutumia mashine ya kisasa
  3. Vulcanizing/Uzibaji wa matairi makubwa na madogo kwa kutumia mashine.
  4. Service za kawaida kama kumwaga oil na uoshaji wa magari.

Wanatafutwa mafundi wenye sifa zifuatazo

  1. Wasafi na wanaopenda kufanya kazi kwenye mazingira masafi.
  2. Wenye lugha nzuri na huduma bora kwa wateja.
  3. Wanaoweza/kutaka kujifunza kufanya kazi kwa kutumia mashine za kisasa.
  4. Wenye nidhamu katika kazi na wanaotaka kukua kikazi.

Kipaumbele kitatolewa kwa mafundi wenye ujuzi katika kazi hizi, lakini wasio na ujuzi wanahimizwa kutuma maombi kwa sababu Service Bay iko tayari kuwafundisha mafundi jinsi ya matumizi ya mashine hizi.

Kwa yoyote ambaye anataka kutuma maombi, atume kwenye email hii, akiongelea ujuzi wake na ari yake katika kazi hii: [email protected]. Mshahara mzuri utatolewa kulingana na ujuzi.

Go to our Homepage To Get Relevant Information.

More Information

  • This job has expired!
Share this job

Contact Us