JOB DETAILS:
Job Summary Platinum Credit Ltd inatafuta Wakala wa Mauzo kwa haraka .
Majukumu
• Kupanga sehemu ya kwenda kufanya mauzo
• Kushiriki katika shughuli za masoko na kutangaza bidhaa za kampuni
• Kujibu maswali ya wateja
• Kumuelekeza mteja kujaza fomu pamoja na nyaraka zinazohitajika
Job Skills: sales, communication,
Sifa za muombaji
• Awe na elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea
• Awe na uzoefu wa kazi za mauzo na masoko
• Awe na uwezo wa kujieleza
• Awe na utayari na uwezo wa kujifunza kazi kwa haraka
• Awe na smartphone
• Awe na umri wa miaka 20–27
• Awe anaishi Dar es Salaam
Go to our Homepage To Get Relevant Information.
More Information
- Total Years Experience 0-5